Blogger Widgets
Home » » DOWNLOAD | MAUA SAMA fT MWANA FA - SO CRAZY(Mp3 Audio)

DOWNLOAD | MAUA SAMA fT MWANA FA - SO CRAZY(Mp3 Audio)


Maua Sama ni msanii chipukizi kutoka Moshi. Ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Cha Ushirika na Biashara Moshi.
Maua ni almasi mchangani ambayo imegunduliwa na MwanaFA baada ya kupata ‘demo’ yake aliyofanyia studio za Moshi na kuipeleka mbele ya “Management Team” yake Lifeline/T.I.A ambao moja kwa moja wakamchukua. Maua anafanya kazi chini ya uangalizi wa Lifeline/T.I.A Inc; Label ya muziki ambayo inasimamia kazi za muziki za MwanaFA. So Crazy ambao ni wake wa kwanza umetayarishwa na producer Marco Chali wa MJ Records na amemshirikisha MwanaFA. Mipango iliyopo ni kumfanya Maua Sama kuwa mwimbaji bora wa muziki Tanzania.
Download hapa..........


© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™

.